jengo yaliotokea maafa ya disko toto tabora
juu ni jengo ambalo disko lililosababisha vifo vya watoto 19 wakati wa sherehe za iddi jana. ukumbi wa disko ulikuwa ghorofa ya juu. chini ni mfanyakazi wa mochuari (picha imemegwa kwa sababu maalumu) akishughulikia maiti za watoto hao katika hospitali ya mkoa wa tabora leo

No comments:
Post a Comment