Mizigo Mingine Ni Ya Kisiasa!

Msichana huyo pichani ( kushoto) anaonekana akiwa amebeba kifurushi kilichofungwa kwa kanga yenye bendera ya CCM. Naam. Siku zote, chama cha siasa kinatakiwa kijihadhari kugeuka 'mzigo wa kisiasa' kwa wafuasi wake. Picha hiyo nimeipiga Mtaa wa Jamaat, Iringa mjini.
No comments:
Post a Comment