tbl yaipiga jeki wiki ya usalama barabarani
Meneja Mahusiano ya Jamii na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania, Maneno Mbegu (kushoto), akimkabidhi fulana Mkuu wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, James Kombe zenye thamani ya Shs Millioni 10 kama mchango wa kampuni hiyo katika wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani itakayofanyika Morogoro mwishoni mwa mwezi October.
Makabidhiano hayo yamefanyika Makao Mkuu ya Jeshi hilo, Dar.
No comments:
Post a Comment