Tuesday, October 7, 2008

Rais wa Madagaska
Awasili Nchini....
Makamau wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Madagaska Bw.Marcravalomanana,katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali na wa pili kulia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete

No comments: