Raha ya tangaa bwaana injini kiuno !






Ukifika mkoani Tanga kama hujashawishika kuendesha baiskeli ama hata kupewa litfi, basi wewe hujafika Tanga sawia.Injini Kiuno ndio usafiri mkubwa rahisi na waharaka kwa wakazi wa Tanga,wenyewe huonekana mara kwa mara wakiwa kwenye injini kiuno,ambazo mkoani humo ni nyingi kuliko hata magari.Baadhi ya waendesha injini kiuno hudiriki kubishana na gari akiamini kuwa yeye akiwa barabarani ndio mwenye haki zaidi.
No comments:
Post a Comment