Friday, October 3, 2008

Pinda..
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Ghan,Mh.S.K.Boafo,baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoko,Accra,kuhudhuria mkutano wa sita wa wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika,Caribbean na Pasifiki akimwakilisha Rais Jakaya Kikwete.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: