Tuesday, October 7, 2008

mambo yote yapo huku


sehemu ya kuogelea nadhifu kabisa,fukwe yake imetulia zaidi


Barabara ya bombo-Raskazone, huku inakoelekea hii daladala,huku ndiko ipo ile hospitali ya mkoa Bombo hospital,pia kuna hotel kadhaa maaruufu mkoani Tanga zipo huku, ni sehemu tulivu isiyo na bugudha za aina yoyote ile

No comments: