Monday, October 6, 2008

Kufatia Vurugu zinazoendela:
Mabalozi Watembelea
Tarime...
Pichani ni Mkuu wa kikosi maalum cha operation Afande Venance Toss akiwa pamoja na mkuu wa kikosi cha kuzuwia fujo(FFU)Anavlet Trasphery wakiwa wanawapokea mabalozi,Janet Siddall wa Canada,Philip Parham wa Uingereza na Staffan Herrtrom wa Sweeden ambao walifika jana Tarime kujionea hali ya kampeni hasa kutokana na kupata taarifa za vurugu na ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi.Picha na Mdau Mussa juma.

No comments: