Wednesday, October 8, 2008

full kushoo love



B 12 na Sista Anna ambaye pia ni msanii wa kituo cha Tanzania house of Talent kwa pamoja full kujiachia na kushoo love kwa wadau wote wa fiesta jirambe 2008.Ebwanaee fiesta inahamia kwa wakazi wa A-city wiki ijayo yaani usiku wa kuamkia Nyerere Day ndani ya ukumbi wa Matongee Canivo -Njiro, ambapo wasanii kibao watakuwepo akiwemo Pro Jay,Jay Mo,Marlow,Wanaume Halisi wazee wa kudadazua, Chid Benz na kundi la Lafamilia,Mangwea,Matonya,Ray C,Nako 2 Nako,Joe Makini,Dull Sykes,na wengine kibao.Katika onesho hilo kiingilio kimepangwa kuwa kati ya buku tano na buku saba

No comments: