Ali Kiba wikiendi ilopita amechengua mamia ya washabiki wake wa Jersey City NJ na kuwafanya wadau wakubali kwamba yeye ni Nambari one East Africa Mahariki nzima. hapakuwa na pa kutemea mate hakuna aliyetaka kucheza hapo ilikuwa ukibanwa na nanihii inabidi uvumilie hadi shoo iishe...
No comments:
Post a Comment