Wednesday, September 10, 2008

Makala Ya Leo..
Kumpinga Rais Hadharani,Lipo Tatizo

Katika mtazamo wangu leo nitazungumza kuhusu tabia iliyoibuka kwa kasi hivi karibuni ya baadhi ya Watanzania kudiriki kumpinga Rais Jakaya Kikwete hadharani.

Kimsingi,licha ya kuwa ni haki ya kikatiba kutoa maoni kuhusu kile unachoamini au kukiona,lakini inapotokea mara kwa mara kuwa hivyo kwa kiongozi wa hadhi ya rais,hakika kuna jambo.Hali hii inanisikitisha hasa nikiangalia maana halisi ya neno kiongozi.Kiongozi ni mtu wa kuonyesha njia,anapaswa kuwa mfano kwa walio nyuma yake.
Aidha,kiongozi ni dira na mwelekeo wa wale anaowaongoza, kiongozi ndiye aliyebeba matumaini ya anaowaongoza.Hivyo basi,kitendo cha waongozwa kumkosoa kiongozi wao,tena kwa hoja, kwa kiongozi mwenye sifa za uongozi,anapaswa kujirudi na kurekebisha dosari.Ziwe zake au wasaidizi wake.Kwa mengi zaidi juu ya Makala hii ya Happiness Katabazi Bofya na Endelea...>>>>>>

No comments: