Friday, December 12, 2008

www.nathankatuni.wordpress.com

katuni mvumilivu hula maumivu. Kwa hawa wazee wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki nadhani kwao ile methali ya mvumilivu hula mbivu sasa inakuwa mvumilivu hula maumivu! Katuni zaidi wadau karibuni www.nathankatuni.wordpress.com
nathan mpangala akiwa oslo. anauliza sanamu kama hizi zingekuwa manzese ingekuwaje? lugha bungeni

No comments: