Wednesday, December 10, 2008

Jana ilikuwa Siku Yetu Ya Uhuru!

Uhuru wa Tanganyika ulikuwa Disemba 9, 1961. Ni miaka 47 iliyopita. Pichani ni miezi kadhaa kabla ya uhuru mwaka 1961, Mwalimu akiwa na Mama Babro Johansson nyumbani kwake Kahororo, Bukoba. ( Picha ya maktaba yangu)

No comments: