Tuesday, December 16, 2008

Shida Ya Maji Dar Es Salaam


Leo imeingia siku ya nane. Pichani ni baadhi ya wakazi wa jiji wakilindia maji ya tenki wanayosaidiwa na mwenye nyumba hii Mtaa wa Manara, Ada Estate leo asubuhi.

No comments: