eve e akijirusha katika pati ya kuwakaribisha bongo. usiku huo yeye na fat joe pamoja na p-square toka nigeria walitumbuiza viwanja vya gymkhana. ay na mwana fa walizindua albamu yao pia kwenye steji hiyo hiyo fat joe akijiunga kwenye pati mara tuu baada ya kuwasili usiku
dj wa eve e na wa clouds 88.4fm wakikamua usiku wa pati ya ukaribisho
eve e akijichanganya kwenye pati hiyo
fat joe na wenyeji wake
wadau toka kila kona walialikwa kwenye pati ya ukaribisho
fat joe akohojiwa na dj mully b wa clouds huku chriss akingoja kurusha yake
fat joe akipungua mashabiki baada ya kuwasili dar.
No comments:
Post a Comment