Tuesday, December 16, 2008

mwandishi aliyempopoa Rais Bush awa gumzo iraq
wakazi wa baghdad wakisoma habari za viatu alivyotupiwa rais bush
Rais Bush akikwepa kiatu cha kwanza
Mwandishi Muntazer al-Zaidi TV binafsi ya al-Baghdadiya akimpopo Rais Bush kwa viatu


Mwandishi wa Iraq aliyempopoa Rais George W. Bush kwa viatu amekuwa gumzo la nchi hiyo, ambapo waandamanaji wamemsifia kama shujaa wa taifa lakini serikali imemwita 'mnyama'.




No comments: