Friday, December 12, 2008

msalaba wa kwanza bagamoyo
inasomeka hapa ndipo padri horner alipopandisha msalaba mnamo mwaka 1868 toka hapa ukristu ulienea bara la afrika mashariki
msalabani ni mojawapo ya maeneo lenye mandhari nzuri sana bagamoyo
ishukuriwe kwamba sehemu ya msalabani pameanza kujengwa ili kupahifadhi

No comments: