Miaka 3 Ikulu:Kikwete Kwenye Njia Sahihi, Lakini....
Na Maggid Mjengwa,
BADO naendelea na tathmini yangu ya uongozi wa Awamu ya Nne wa Rais Jakaya Kikwete wakati huu ukitimiza miaka mitatu Ikulu.
Miaka miwili iliyopita nilitathmini siku 100 za Jakaya Kikwete Ikulu. Niliandika yafuatayo:
Miaka miwili iliyopita nilitathmini siku 100 za Jakaya Kikwete Ikulu. Niliandika yafuatayo:
Kikwete haonyeshi kuwa ni mtu mwenye makuu, mbinafsi, mwenye tamaa ya mali na fisadi. Ni mtu wa kawaida aliyepanda na kushika mamlaka makubwa kutokana na uwezo wake akisaidiwa na bahati pia. Mara nyingi jambo hili si gumu katika nchi zetu hizi. Ugumu unakuja kwenye kuyahifadhi mamlaka hayo. Soma zaidi: http://raiamwema.co.tz
No comments:
Post a Comment