kutoka ukuryani London
Kaka kadidi,
Hapo ni Buckingham Palace, the official London residence of the British monarch, kwa kikurya ni kwamba hapo ni makazi rasmi ya mtawala wa Uingereza a.k.a Malikia, Jengo hilo lilianza kutumika kama makazi rasmi ya Malikia toka mwaka 1837 na lina vyumba 775.. Ni mojawapo ya vivutio muhimu vilivyoko eneo la Westminster huku ukuryani London... Pamoja na vivutio vingine pia kuna statue's (sanamu) mbalimbali ikiwemo ya Nelson Mandela, Miles chache kutoka palace hiyo pia kuna Bunge la Uingereza na karibu kabisa na bunge hilo iko St.Thomas Hospital alikotibiwa na kufariki Baba wa Taifa 'Mwl. JK Nyerere', RIP Mwalimu..
Pokea Salaam kutoka Ukuryani,
Ni hayo tu kaka..
Mdau, Wille.
No comments:
Post a Comment