wabongo wafunika katika maonesho china


Mambo ya mduara yalikuwepo ambapo wachina nao hawakuwa nyuma katika kulisakata kachiri
Hizi ni picha za matukio ya maonesho ya tamaduni yaliyofanyika mnamo tarehe 30/11/2008 hapa Wuhan china(Mji wenye wanafunzi wengi wa kitanzania kwa China),na sisi kama watanzania tulishiriki kikamilifu.
kusema kweli ilikuwa baaab kubwa,zifuatazo ni baadhi ya picha na maelezo yake.nimeziweka kwenye number ili ziwe rahisi wewe kuelewa,pia nimeziresize kwa ajili ya kuziweka kwenye web.
No comments:
Post a Comment