Thursday, December 18, 2008

tigo yazindua huduma mpya kwa kishindo


Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Selemani Msindi 'Afande Sele' akifanya vitu vyake katika tamasha la Tigo Beach Party lililofanyika Coco Beach, Dar es Salaam juzi. Katika tamasha hilo kulifanyika pia uzinduzi rasmi promosheni mpya ya Tigo ya Longer longa 3.
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Khamis Mwinjuma 'MwanaFA' akikonga nyoyo za mamia ya mashabiki waliohudhuria tamasha la Tigo Beach Party lililofanyika Coco Beach, Dar es Salaam juzi. Katika tamasha hilo kulifanyika pia uzinduzi rasmi wa promosheni mpya ya Tigo ya Longer longa 3.

No comments: