Kituo Cha Mwisho Cha UDA Kilichosalia!
Kiko Chang'ombe Maduka Mawili. Ndio kituo pekee kilichobaki cha lililokuwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam, UDA. Kimebaki na bati na rangi zake; njano na nyekundu
( UDA ilikuwa ya wote; Yanga na Simba!). Picha hii ya kihistoria tumeletewa na mwenzetu Madenge Hassan aliyepita mita
No comments:
Post a Comment