Friday, December 12, 2008

SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA
Amiri jeshi mkuu JK akirudi jukwaa kuu baada ya kukagua gwaride la kusherehekea miaka 47 ya uhuru leo pale neshno ya zamani/ kulia ni mkuu wa majeshi jenerali davies mwamunyange
msafara wa JK ukiingia neshno
msafara
msafara wa JK ukikaribia lango kuu neshno
watoto 1000 wa shule za msingi za dar wakifanya halaiki
fanya fujo uone wakipiga kwata
neshno ilivyoonekana
wanamaji wako smati
jukwaa kuu
hapa ni mwendo wa bata mzinga
jukwaa kuu
ngoma toka kagera
ngoma toka mara
wadau walihudhuria kwa wingi gwaride la uhuru
halaiki ya kukata na shoka ya watoto 1000 wa shule za msingi















No comments: