TID huru, ataendelea na rufani ya kusafisha jina lake?

TID ambaye Julai 23, 2008 alihukumiwa katika mahakama ya Kinondoni kutokana na kujeruhi, alikuwa ni mmoja ya wafungwa 4,306, walionufaika na msamaha huo ambao ni kwa mujibu wa Ibara ya 45 (1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kabla ya msamaha huo, TID alikuwa amekata rufaa mahakama kuu kupinga kifungo alichopata, na kila mdau anasubiri nini kitaendelea; je, atafuta hiyo kesi ama ataendelea nayo ili kujisafisha jina?
No comments:
Post a Comment