Saturday, December 20, 2008

herry makange aagwa dar jana, kuzikwa kibaha leo
mjane wa herry makange, jane mponzi, akiwa hataki kuamini kwamba mwenzie ndio keshatangulia mbele ya haki kwenye hafla ya kuaga mwili wa marehemu ostabei mchana jana. baadaye mwili ulipelekwa kibaha tayari kwa mazishi leo
ganzi na bumbuazi kwa mjane jane mponzi
wafanyakazi wenzie herry wakimsindikiza
shemeji wa marehemu anashindwa kujizuia
wadau wa habari toka kila kona na chombo walikuwepo
maprodyuza waandamizi wa channel 10 na dtv wakimuaga mwenzao

No comments: