Wednesday, December 3, 2008

Iringa Shwari!

Iringa inakua kiuchumi, na bado hatuna foleni za magari, hali ya hewa safi kabisa, tuna vyuo vikuu vitatu na fursa nyingi nyingine za kuajiriwa na kujiajiri. Karibu uje uishi na kufanya kazi Iringa!

No comments: