Friday, December 12, 2008

muda wa maongezi wa Zain waenda ulanga


Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Costantine Magavilla akizungumza kwa simu na mshindi wa muda wa maongezi wa sh. 100,000 wa promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2 ya Zain Tanzania, Frank Kologati wa Ulanga, Morogoro, jijini Dar leo Desemba 11, 2008. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Zain Tanzania, Beatrice Mallya na kulia ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humudi Abdulhussein.

No comments: