Wednesday, December 10, 2008

Old Boys! Mark Na Jakaya

Jakaya Kikwete akiwa na Mark Mwandosya. Jakaya Kikwete alikuwa Waziri wa Maji, Nishati na Madini na Mark Mwandosya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Picha hii nzuri inatoka kwenye maktaba ya Emmanuel Mwandosya.