Thursday, December 18, 2008

nani kuibuka miss east africa kesho ?

Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss East Africa,Annete John akiwa amepozi
Annete john kushoto akiwa na mratibu wa Miss EAC Burundi, Serge Nkurunzinza na Lynete Rwakatare.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss East Africa wakiwa katka vazi la ufukweni


Baadhi ya washiriki wa Miss East Africa wakiwa mazoezini tayarikwa fainali zitakazofanyika kesho.



Mwakilishi wa Tanzania, Lynnete Lwakatare akihojiwa na waandishiwa habari.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Rena Events inayoaandaa shindano laMiss East Africa, Rena Callist (kushoto) akiwa na Mhariri wa Gazeti laBingwa, Petter Mwendapole (kulia) na wawakilishi wa Tanzania katikashindano hilo, Anette Mwakaguo (nyuma kushoto) na Lynnete Lwakatarewakiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Bujumbura.

No comments: