Tuesday, December 16, 2008

Kwenye Barabara Zetu Roho Ni Mkononi
Ajali hii mbaya niliikuta kwenye kona kali na za hatari za milima ya Ihovi wiki iliopita jioni. Pichani basi hilo lilitoka kwenye njia yake na kugongana uso kwa uso na gari ndogo ( haionekani pichani) . Iko kwa mbele na imeungua vibaya. Hadi naondoka mahali hapo pa tukio, sikupata taarifa za uhakika za waliofariki na waliojeruhiwa.

No comments: