Thursday, December 18, 2008

mbilia bel bado yuko fit

Mbilia Bel akiwa amepozi na Victor Alistote wakati wa kupata chakula cha dinner pale break point ya mjini
Mbilia Bel akiwa amepozi ndani ya gari ya kifahari iliombeba mpaka hoteli aliofikia

Mbilia Bel akionesha dole mbele ya kamera ya Inawezekana akiwa na mwenyeji wake kutoka kampuni ya burudani ya Prime Time Promotions Ltd

Mwanamuziki Mbilia bell kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo katikati alipowasili juzi usiku katika uwanja wa ndege wa mwalimu julius kambarage Nyerere.Mbilia Bel ameletwa na kampuni ya Tcc kupitia Club E kwa ajili ya pati ya kufunga mwaka itakayofanyika keshokutwa jumamosi usiku pale New Word Cinema-Mwenge jijini Dar.Shoto ni moja ya wakurugenzi wa kampuni ya Prime Time Promotions (waratibu) Godfrey Kusaga

No comments: