Wednesday, December 10, 2008

Watanzania Tumeambiwa Mengi......
Waziri Mkuu Mstaafu Msuya alipata kutamka; Kila mtu ataubeba msalaba wake! Mzee Malecela akiwa waziri wa mawasiliano alipata kutamka; wanaosema kuna matatizo reli ya kati waende kuzimu! Basil Mramba alipata kutamka; ndege ya Rais itanunuliwa, hata ikibidi Watanzania mle nyasi! Mkapa akatwambia; Watanzania msiwe wavivu wa kufikiri! Haya, tufikiri kwa bidii ili tukumbuke kauli nyingine tulizopata kuambiwa!

No comments: