Friday, December 12, 2008

fat joe, eve e, p-square na mastaa wa bongo wapagawisha mashabiki klabu ya gymkhana
eve e akidatisha katika viunga vya klabu ya gjmkhana usiku huo
mabaunsa walikuwa na kazi ya ziada kila eve e alipojichanganya na washabiki
fat joe akilikoroga
eve e akicheza na kinadada aliowakaribisha stejini.
profesa j wa mitulinga alikuwepo pia
umati ulifunika viwanja vya gymkhana usiku huo kwenye shoo la fat joe, eve e na p-square na mastaa ki bao wa bongo
mr blue alikuwepo kuweka mapozi yake

Albert mangweir amerudi kuwashika
joe makini na nduguye
mwana fa naye alikuwa bado yupo yupo tu
inua mikono juu kama hufagilii mambo ya kishamba..... wanaimba ay na mwana fa
p-square wakidatisha umati
kazi si mchezo ingawa mchezo ni kazi

ay akitoa wimbo wake 'freeze' aliopiga na kundi hilo toka nigeria na ambao umeshika chati za juu afrika nzima

No comments: