bongo kumekucha ile mbayaa ukiongeza na utambarare wake aah.!
Wasanii watatu wa kamataifa wametua juzi akiwemo Joe Lewis Thomas kutoka nchini Marekani,Devonte pamoja na Tanto Mentro kutoka Jamaica ambao wanatarajiwa kufanya onesho lao viwanja vya Lidaz Cluba leo usiku.Aidha imeelezwa kuwa pia kundi la wasanii wengine kutoka Marekani lijulikanalo kwa jina la Boyz II Men pamoja na msanii mwingine wa kike kutoka nchini Jamaica Tanya Stevens wanatarajia kutua leo mnamo majira ya saa moja asubuhi kwa ajili ya onesho hilo la usiku
No comments:
Post a Comment