Friday, December 12, 2008

ubatizo wa moto rwanda
Hawa washikaji hawataki kukubali kwamba tunawazidi, wanaandika story kwa mti manyongo...
Kuna story ya kunyimwa deal ya Millenium Challenge, na pia kuwekwa kwenye kundi moja la akina Somalia na chombo kimoja cha Uingereza. Pia wanawacheka Rwanda kwamba baada ya kukubali kufuta vibali vya kazi na kuruhusu biashara za Kenya ziingie, sasa wanakiona cha moto, yaani wanawacheka kabisa.................................
wanasema ni ubatizo wa moto.
Kamzigo kangu kanakuja, ngoja upepo ukae vizuri.
Mdau M.Matinyi
USA

No comments: