Friday, December 12, 2008

wadau wa tumaini ndani ya saadani
bango
wadau wa tumaini
bichi ya saaadani na chini ngiri na binadamu
Hallo kaka kadidi na wadau wote wa blog ya inawezekana,

kwa niaba ya wanafunzi wenzangu wa Chuo kikuu cha Tumaini-Makumira, Katika kusherehekea sikukuu ya Idd na Uhuru wa Tanganyika tumetembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani iliyopo Pwani. Huko tumejionea na kujifunza mambo mengi sana.
--
Meshack c.Maganga
Tumaini university
Makumira University college
Faculty of Humanities and social science
+255 713 486 636
ARUSHA
TANZANIA

www.meshackmaganga.t4.com
http://www.makumira.ac.tz
meshackmaganga@gmail.com

No comments: