Tuesday, October 7, 2008

uhandisi uliotukuka: nguzo yetu yaondolewa

Assalaam alaikum kaka,
napenda kuwataarifu wadau kuwa ile nguzo
iliyokuwepo pale karibu na soko la temeke sterio ilishaondolewa
kitambo.naona mdau hakuwahi kufika hivi karibuni.
nimeambatanisha picha
unaweza kuona pale kuna kashimo cha kiaina ilipotolewa hiyo nguzo.
mdau mulla

No comments: