Wilaya ya Muheza...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya Msingi Mtindiro iliyopo wilayani Muheza muda mfupi baada ya Rais Kikwete Kufungua shule mpya ya sekondari ya Mtindiro,iliyopo wilayni Muheza
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiaangalia watoto waliokuwa wanacheza ngoma za utamaduni katika viwanja vya Kacheba wilayani Muheza,Mkoani Tanga jana.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku kumi.Picha na Freddy Maro/Ikulu
No comments:
Post a Comment