Monday, July 28, 2008

Sherehe Za Umoja wa Watanzania
Birmingham (Uingereza)
Zafana..

Picha Mwanana za Sherehe za Umoja wa Watanzania Birmingham,iliyofanyika katika Ukumbi wa The Drum siku ya Jumamosi Tarehe 26/07/2008 ambazo ziliudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Bi Mwanaidi Maajar na Viongozi mbalimbali wa jumuiya hiyo.

No comments: