Tuesday, July 29, 2008

Waziri Mkuu Pinda
Dodoma...
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kitabu,Gavana wa China Development Bank,Bw.Chen Yuan katika chakula cha mchana alichomwandalia gavana huyo na ujumbe wake kwenye hoteli ya New Dodoma Jana.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na Mbungewa Newala,Capt.George Mkuchika(katikati )na mbunge wa Donge,Ali Mohamed Ameir,kwenye jengo la utawala la bunge mjini Dodoma Jana.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: