Friday, July 25, 2008

Edward Lowassa amshitaki
Kubenea..


ALIYEKUWA Waziri Mkuu Edward Lowassa(Pichani),amewaagiza mawakili wake kulishitaki gazeti la kila wiki la MwanaHalisi,kutokana na madai ya kumchafua.“Kwa kuwa gazeti hili limekuwa na utaratibu wa kunichafua,nimewaelekeza mawakili wangu Kampuni ya Rex Attorney,iwafungulie mashtaka mara moja ili wachukuliwe hatua kali za kisheria,”alisema Lowassa katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Leo.

Mbunge huyo wa Monduli amechukua hatua hiyo kutokana na gazeti hilo katika toleo lake namba 107 la Julai 23-29,mwaka huu,kuchapisha habari yenye kichwa cha habari “Lowassa katika kashfa mpya” ‘Amesaini mkataba usiku,ni mradi wa UV-CCM,Makamba amdanganya Kikwete.’Bofya na Endelea...>>>>>

No comments: