msiba: Mzee thomas marijani kizigha katutoka

Ibada maalum kumuombea Mzee Thomas Marijani Kizigha leokatika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front jijini kabla ya kupelekwa uwanja wa ndege tayari kwa kusafirishwa kesho asubuhi

Msafara ukianza toka nyumbani kwa mtoto mkubwa wa marehemu, Charles Kizigha, Mbezi Beach

Mwandishi Mwandamizi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) wachapishaji wa gazeti la daily News na HabariLeo, Charles Kizigha, akiwa amebeba msalaba baada ya Ibada maalum ya kumuombea Marehemu Baba yake mzazi, Mzee Thomas Marijani Kizigha ambaye anatarajiwa kuzikwa wiki hii nyumbani kwao Usangi mkoani Kilimanjaro. Imepangwa asafirishwe kesho kwa ndege

Jeneza lilolobeba mwili wa marehemu likiingizwa kanisani kwa ibada maalum

waombolezaji wakiwa kanisani

Kaka Franklin Mziray akiteta jambo na mfiwa Charles Kizigha

Baadhi ya wafanyakazi wenzie na Charles Kizigha wakiwa kanisani na waombolezaji wengine

Familia ya Hayati Mzee Thomas Marijani Kizigha kanisani leo
No comments:
Post a Comment