Monday, July 28, 2008

JEMADARI HAMU...!
------
Ukiwa na HAMU!Akili yako itajaribu kukutimizia HAJA za HAMU.Ukiwa na haja, ni rahisi kufikiria kuwa kuna staili BOMBA za kutimiza HAJA yako kama YAKE.Kutimiza haja yako ,inawezekana kuwa ni WEWE PEKEE unaweza kusawazisha kwa sababu UKWELI ni kwamba haja yako unaijua vizuri wewe MWENYEWE.
Swali:UNAFIKIRI kuna staili nzuri ya kuongelea haja ambayo inadaka yote yaliyo kwenye MIMBA ya HAJA yako?
By
Simmon Kitururu
SIKU NJEMA!

1 comment:

Anonymous said...

Bravo, the excellent message