Thursday, July 24, 2008

Gari la Vodacom Miss
Tanzania 2008...


Tausi (warembo) wanaowania Taji la Vodacom Miss Tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika gari ambalo mshindi wa kwanza atazawadiwa.gari hilo Suzuki Grand Vitara linathamani ya sh milioni 42.Picha kwa Msaada wa Mrocky

No comments: