Wednesday, July 23, 2008

Dr Asha Rose-Migiro atembelea
Bunge Dodoma..
Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela(Kulia)akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha-Rose Migiro hati aliyoweka sahihi kuunga mkono kampeni ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(Kulia),akizungumza na Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk.Asha Rose Migiro kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma Jana.
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha Rose Migiro akiingia bungeni mjini jana mjini Dodoma.PichaJube Tranquilino na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: