Wednesday, July 23, 2008

karume atembelea Bandari ya Malindi Zanzibar


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME, AKIELEKEZA JAMBO WAKATI ALIPOTEMBELEA BANDARI KUU YA MALINDI MJINI UNGUJA, INAYOENDELEA NA UJENZI WA BANDARI HIYO INAYOJENGWA NA KAMPUNI YA PHIL&SON KUTOKA NCHINI DENMARCK,KULIA NI MKURUGENZI WA SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR MUSTAFA ABOUD JUMBE

MAFUNDI WA KAMPUNI YA PHIL&SON KUTOKA NCHINI DENMARK WAKIWA KATIKA HATUA ZA UJENZI WA BANDARI KUU YA MALINDI MJINI ZANZIBAR,UJENZI HUO UNATARAJIWA KUMALIZIKA MWEZI NOVEMBA MWAKA HUU.PICHA KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMANA IKULU/ZANZIBAR

No comments: