Wednesday, July 23, 2008

haliwahusu


Wabongo bwana,shimo hili liko katikati ya barabara mtaa wa samora karibu na jengo la Holand House na Brintish Council,linamaliza wiki sasa wahusika wameuchuna tu,halafu wakati mwingine kunakuwepo na maji machafu na yenye harufu mbaya sana yanatoka,na si kama vipi viongozi wa serikali wanapita kila wakati lakini aah hakuna hatua yoyote inayochukuliwa,sijui wameona linawakela wameamua kuweka tairi badala ya kuzibwa/karabatiwa

No comments: