Kazi za Michuzi Jr..

Picha mwanana ya Sendoff ya Bi Harusi mtarajiwa Brenda(Kulia) akisaidiwa na matroni wake kukata keki Kwenye Sendoff yake iliyofanyika jana jioni ndani ya ukumbi wa Makuti-Msasani Beach-Kawe jijini Dar es Salaam.Kwa wale wadau watakaopenda kupata picha za uhakika kwenye matukio mbalimbali ya Harusi,Sendoff nk,Msisite kuwasiliana Mdau Ahmed Michuzi
Kupitia E-mail:amichuzi@gmail.com au kwa simu number 0713 422 313.mtwangie leo na mweleze umeona Tangazo lake kupitia Blog hii upate punguzo la % flani.
Nyote Mnakaribishwa....!!
No comments:
Post a Comment