Saturday, July 26, 2008

Maisha ya Mtangazaji Vicky Ntetema
Yapo Hatarini..

Baada ya kuwaumbua Wagaga(Wachawi) wanaotumia au Kuagiza wateja wao kuleta Viungo vya Maalbino nchini Tanzania kwa Tiba au Kupata Utajiri..Mtangazaji wa shirika la habari la uingereza BBC Vicky Ntetema amesema amekua akipokea vitisho kila kukicha juu ya maisha yake...Soma habari hapo chini upate ukweli wa mambo kutoka kwake..

am living in hiding after I received threats because of my undercover work exposing the threat from witchdoctors to albinos living in Tanzania.I do not regret it, even if I am very scared.More Click Here.

No comments: