Saturday, July 26, 2008

MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU
CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA:
READING UK 08-10 /08/ 2008...

MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA : READING UK 08-10 /08/ 2008.

umuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania .

Mwlm Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.

MATARAJIO.

Wenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu.
Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwa
Nyimbo za Injili kutoka Mwanamziki wa Injili Fanuel Sedekia kutoka Arusha
Timu ya Injili na uimbaji kutoka Norway inatarajiwa kuwepo.

Huu utakuwa wakati wa baraka sana jitahidi usikose nafasi hii ya pekee na Mungu atakubariki.
ANWANI YA UKUMBI
Rivermead Complex Leisure Centre,
Richfield Avenue, reading
Berkshire, RG1 8EQ
Mikutano itakuwa inaanza asubuhi saa nne paka saa moja jioni kwa siku zote tatu.

Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa kuchangia mkutano huu kwa hali na mali
Kwa watakaoguswa kutoa,tunaambatanisha akaunti ya bank

Account Name Association of Tanzanian Christians in Europe (ATCE)HALIFAX BANKACCOUNT NO 00989146SORT CODE 11-07-47

MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /Reading Respigy 07888841971, Birmingham-07776358464 Jackson Kapama, London 07817479845 Elias Mwema, Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,-Brighton,07950324330 Joyce Jacob. Southampton 07717435287 Sekela Komba

07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe-Mwenyekiti
07983615387 /Timothy Kyara- Katibu mkuu.

KARIBUNI WOTE..!!

No comments: